Adili Costantino on Instagram: "Jamii nyingi za Afrika na Asia, Pangolini (Kakakuona) wanahusishwa na Imani za Ajabu. Wengine huamini kuwa ni Mnyama mwenye nguvu za Kiroho, anayebeba Bahati au Ulinzi, huku wengine wakiamini magamba yake yana uwezo wa kuponya au kutabiri mambo yajayo. Zaidi..👉 YouTube (Street Report) ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,!!,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, Mradi wa viwanja vya makazi na biashara KIBAHA PANGANI kutoka @greenlandrealestatetz BE